
Kama ukona idea ya salon ama kinyozi sio lazima ukue na dooh mob, unaweza anza pole pole. If you know how to draw eyebrows manzee... uko mbele juu, it's hard for many ladies especially those are who are busy at work, unaweza anza na kuchora eyebrows ya henna and trust me you will earn a lot. If you have the skills you can try and see it for yourself. #TeamKinyozi #JengwanaAdvice #Meshers

0
0
0