
Kama umeamua ni modeling, jua body language inaongeanga sana as compared to words. Angalia poses zako kwa kioo ama record na phone before shoot. Utaona angles na expressions zinaleta the best version ya look yako. Kuna difference kubwa between a forced smile and a genuine expression, na camera poa haiwezi kosa kucapture that.
nb: image created by Bing Ai.

0
0
0