
Kama unacheza foota na uko fiti, ama unajua player mkali mtaani, sambaza iwafikie ama vipi?
-
Trials ni Kesho na Sato (September 15 and 16).
-
Time ni From 9:00am.
-
Venue: Ruaraka Complex hapo EABL.
-Age ni between 18 and 20.
- Beba ID yako oriji (National ID for Kenyans,passport for foreigners).
-Beba kit yako ya kucheza.

0
0
0