
😎Kama unafanya biz, ku-generate buzz na ku-drive sales huwa important sana ku-keep business going na pia ku-grow
💪Ku-offer quality products na services bado ndio the main thing ku-attract customers na kuwapatia value, but still, una-need ku-make sure customers wana-engage na biz na pia products au services zako kujua experience na value iko aje kwao.
👉Ukiwa satisfy business yako inafunguka na ku-grow poa sana.
🤔Mnafanya nini kuleta customers kwa biz, ndio sales ziongezeke?

0
0
0