
KAMA UNAPENDA SEWING, NA UGEPENDA KUFUNGUA SHOP YAKO.
Hapa kuna tips za ku consider:
-
Make business plan ya bizz yako. Kwa kila bizz, plan ni a must have which will include vitu zenye utakua unafanya for the next 6 months.
-
Pata necessary training kwanza from proffessionals, this one ni lazima ndo ujue some of the tricks na techniques.
-
Decide how much fund unadai kwa bizz yako. Consider vitu kama rent, equipments, na other running expenses.
-
Decide location utaweka hiyo bizz.
-
Tafta equipment’s need to run the bizz.
-
How are going to market your business.
Am sure ukipata ka loan mahali na you consider this tips ndo ufungue shop yako najua utakua aware of what you’re require to do.

0
0
0