Kama unashida kwa tenje yako na unapatikana area within Bondo, usitense, kuja upate riba LA simu yko. Niko hapo Bondo opposite Corldori filling station, along barabara ya malaika hotel