
Kama unataka ku save doo na haujui nini la kufanya. First kuwa na list ya vitu unataka, pia kuwa na list ya vitu uko nazo ndio ukienda soko ununue tu zile ambazo hauna, pia kama zingine bado ziko za kukufikisha masiku usiongeze. Kama salary yako ni less kama 230 or 400 unaweza kuwa ukisave 15 ksh. 15 ×31 =465ksh c apo uko na kakitu. "Kidogo kidogo hujaza Kibaba" #MesHers #Tujengane
0
0
0