
Kama unataka kubadilisha biashara yako uingie kwa ingine tafadhali usiharakishe. Lazima ujue if the new biz itakuletea mkwanja mob kuliko the previous one. Kwanza jiulize hii maswali;
- Utahitaji doh ngapi kama cost ya production kwa new idea.
- How much revenue will you foregoes, azin doh ulikua unapata kwa biz mzee
- Extra revenue utapata ngapi, azin uliuza produce za new biz utapata doh ngapi.
- Utasave Cost ya pesa ngapi, azin ile doh ulikua unatumia kuproduce in old biz. Ukipata 3+4 ni kubwa kwa 1+2, badilisha hio biashara teketeke For Partial Budgeting hit my WhatsApp 0714563801 at no cost
0
0
0