Kama unaweza turn kupika kwako ukiwa mtaa into a small side hustle unaweza kubali? Tuseme unajua kupika pilau ivi ama ata matoke ama mandazi ... Unabuy ingredients unapikia kejani unaweka kwa site unapata preorders ama orders according to venye wasee wanadai kwa neighborhood yako...Unaweza anza na dish sita ivi ukiendelea kugrow unauza even more just from your kitchen....wakitaka kupelekewa unawalipisha ama wanatuma wasee wao wa senke... Unauzia mastude ama ata wasee wako janta na hawana iyo masaa ya kupack lunch ama kupika supper...
Hii ndio brains behind jirani kitchen... As of now tunacollect tu data ya wasee.. ukitaka kujoin waitlist unaweza apply kwa jiranikitchen.lovable.app ama ututumie email kwa jiranikitchen@gmail.com
Tunataka opinions za wasee ndio tugrow na tuone venye kutakuwa.. Take your time ifikirie hii risto