Kama we ni chef na umetafuta mkoba wa kubeba hela zako ama we ni mwanadada amechoka na kubebana na mikoba mikubwa ya kwenda nayo shule na anayehitaji ya kubeba kitabu kalamu ama mahali pa kuweka tablet ndio hii Sling bag ya Rexine Leather iko na Ankara Design.Iko waterproof ndani na lining inahikisha kama umeweka sunglasses ama simu hazitapata scratch ukibeba .Iko na flap inafold yenye inaensure ukienda nayo Tao hutaibiwa na mapickpockets juu flap na zip zinaprotect eseentials ndani .Iko na compartments mbili ndani moja yenye iko zipped kwa side kuensure coins lip balm ama keys zinafit hapo while compartment ingine ni ya kuweka tablet kalamu notebook ama hadi simu na pia iko na back zip pocket yenye unaeza weka ID hapo na cards zingine for safety ni 1800= tu kama unadai ni DM on 0745045393 sai juu ziko limited in stock