Kama wewe ni comrade unaweza anza biz ndogo ndogo pale campus. Kama packet moja ya lollipop ni 240 na ziko 50 ndani unapata profit ya 260 . Share huslte ingine kwa comments 👇