Kama wewe ni fan wa sports najua umefuatilia high school games
Kwa county uko ni shule gani imekuwa noma kwa football?
Nipelekeni na rada kwa comment