
"Kanairo sio ya kila mtu, kama hauna skills, connections na kuwa street smart, HAUTOBOI. Juu kama unaweza ishi poa hii mtaa hakuna place hauwezi ishi duniani"
Common phrase, tumeisikia soo many times.
How true is this?
One day, with their permission, ntakuchapia story ya 4 of our members wenye walishift to hii hood and vile their bond, from our group, helped them in surviving.

0
0
0