
"Kanjo watakuja wanikute mbinguni na sitawafungulia" in native... That my friend ndio ile place kanjo wamefikisha "most beautiful and handsome Kenyans as per this kanjo drama video 👉🏽 https://fb.watch/or5dUaq9d7...
Mine ilikuwa parking, pale Ngara, on a Monday, nikiwa na stress zangu, stress za pesa, juu products zimepanda bei, na hawakuniambia 🤣.
And like every mwana biashara, sisi Monday hatupendagi stress mingi, ndio atleast the rest of the week itutreat fair. With my trolley guy tulicheck ile koti ya yellow inatufuatana nyuma.. haste haste sisi ndio haoo.. Baana paying the new rates yet utasimama hio place for like 30 minutes: one and half litre ya petrol, hapana.
"WEWE!, tutaonana, ata nakuweka kwa system".. Rounda ya kushika Ring road, bado kwa side mirror naona kidole, "WEWE"... Niliwekwa kwa system? NO.... Ntarudia? YES.
And that my friend, ndio ile experience yangu na Kanjo.
Video Credits; GHAFLA KENYA
