
🎉Karibu MESH community 🎊. Hii ni platform ya young Kenyans in #Biz Hapa hivi opportunities ni kibao na MESHers huget na hupeana advice about different hustles, wanna-share skills, wanna-get customers na ku-get jobs. Kuna different groups na hapo kuna partners wana-invest kwa biz za MESHers. 🙌🏿 Wasee hapa wanaget financial support ili kuinua hustles zao.
Mimi @[Jemutai Chibambe] hustle yangu ni kua comedian, je wewe?! Share kuhusu hustle yako kwa comments ndio u-build networks zako!
#Tujengane💪🏾 #SisiNiMESH
0
0
0