Karibuni #NginaHustles hii ndo restock yangu ya 2weeks ya June Nauza detergents ; Jik @500 kwa 5ltrs Liquid soap @300 kwa 5ltrs