
Karibuni sana and Happy New Year!
Tukianza mwaka mpya lazima tuwe na Imani vitu zita-change na 2021 ita bring new opportunities and limitless possibilities kwa hii Community yetu ya MESH. Ndio tuweze ku-realize hii dream pia inabidi tu-renew our minds as well. Last year imekua ngori, tumekua pushed to the limits na tukawa tested in many ways we have never experienced before.
Wa-junior wanarudi machuo, na wasee wamerudi kwa Hustles zao. Kama kawaida hapa MESH tukona plans kibao za kuinua young people kwa hii community yetu huu mwaka. Tushikane mikono tuinuane and there is no doubt that the MESH Community ita bounce back and bounce back better.
0
0
0