Kazi imekua ngumu aki nahii corona unatembea na sabuni kutoka mathare mpaka inderstrial area mguu ukitafuta wateja nahauwapati jo mesh chezeni kama nyinyi tuboostieni biashara watoto wako nyumbani chakula zinatungojea nyumba pia kulipa corona inaumiza mungu tu aingilie kati
0
0
0