
Kazi yenyu creatives hukua kujenga brand za wasee wengine kuliko yenyu. Unatengezea ma-clients logo smart smart, content perfect wanakua na feeds safi, lakini profile yako inaonekana kaa ya ghost. Fanya hivi—weka kazi yako kwa feed, ongea na audience yako, na ujibrand kama pro. Acha kufanya kazi kwa darkness.
Nyinyi hua mnangoja clients wakuje dm? Ukiambiwa utume samples, hua unaanza kuzisaka wapi? Ukona portfolio? Website? page? ACHA KUWORK LIKE A GHOST!

0
0
0