
KEEP CUSTOMERS HAPPY WITH QUALITY PRODUCTS AND SERVICES.
Hii hapa ni ya business people wana offer services za Kama Woodwork, Basketry, Tailoring na Jewely making.
Mbona nafaa kujali sana na vitu kama quality kwa Bizna yako ama Service?
When I talk about Quality products, I just donβt mean the material you put into the products. Quality pia ina includes ku provide good customer service, backing up products zako na warranty ama return policies, and looking at and improving the processes by which you do work, among other things.
-
No matter what product una create ama services una sell, Quality ni kitu ya maana sana kwa success ya Bizna yako, itaenda beyond basics ya chenye unauza kwa customers.
-
Make Quality ikue ndo main goal this year, na kila msee ako involved kwa Bizna yako anaweza kusaidia ku maintain the quality Pamoja, kama customers ivi unaweza request feedback kutoka kwa after every sale ama monthly depending venye umezoeana na customer wako.
-
To maintain and improve Quality in the long term, the process unatumia ku create products zako inafaa kukua sustainable.
So vitu unafaa kuput in practice in order kumake quality kama core part ya Bizna yako ni kama hizi:
- Guides ama instructions za day-to-day processes
- Product testing muhimu sana.
- Regular customers inputs na Surveys.
You can share other tips hapa kwa comment section. πππππ
