Keeping in touch with customers ata way past wamekusaidia na kumove stock inasaidia kuwashow wako appreciated na value ,na opinion zao bado zinacount