
kelvin anadai kuanza biashara ya kiiza mayai boiled moto sides za machakos hasa apo kwa stage main ya magari coz kuna audience wengi hutaka fast snacks waki travel ..advice him on things to consider for example
1.capital
2.mahali atatoa mayai cheaply
3.how to be competitive na kustand out from other sellers in hio bizna
4.licence anafaa kuchukua
0
0
0