
Kelvin anafanya retailing business na anadai kuinvest but ako stuck na kuchoose the best way..
kuna very many types za kuinvest hasa kwa watu wa biashara kama vile real estate stock buying..
can we kindly help kwa hii topic atleast we all benefit..
which is the best safe way ya kuinvest as business person?

0
0
0