Kelvin Mbaabu Kuku 101. Starting a chick rearing hustle.
- Space..affects decision on how many to keep.
- Capital...gharama ya kuacquire feeds, supplements zaa kuraise the chicks adi level zinaleta income.
- Type. Unahitaji kuamua unaraise Layers, Broilers, improved kienyeji or any other. Here kua specific ndo usiwe na extra expense zenye uezi cover.
- Soko..market ni wapi, nani, ajy. Utauza live chicken, 1 month old chicks, eggs, nyama.saka the best product kwa market uko nayo..
0
0
0