Kenya ime-win chance ya ku-host AFCON 2027 alongside Uganda na Tanzania.
Hii ina-mean Harambee Stars wame-qualify bana.
Ni biz ideas gani zinaweza shika hiyo period games zitakua zinachezwa?
Photo courtesy: Harambee Stars.

0