
Kenya Premier League Football Club, Bandari FC wanaanza team yao ya women, inaitwa Bandari Queens.
Trials ziko Mombasa Sports Club, on Saturday, 7am.
Tell a friend to tell a friend. Trials ni Free.
Share na mabeshte wanagusa dimba mtaani.. tujengane!

0
0
0