Kenya sasa inapanga kujenga 640km metre gauge railway kutoka Rongai hadi South Lokichar kwa gharama ya takriban Sh220 billion ili kusafirisha mafuta ghafi kutoka Turkana. Mradi huu wa reli unachukua nafasi ya ile plan ya awali ya kujenga pipeline ya kupeleka mafuta hadi pwani.
Kwa ufupi, badala ya pipeline, serikali sasa inaona reli ndio njia practical kusafirisha oil ya Turkana, huku ikitarajiwa pia kufungua uchumi wa maeneo ya Kaskazini na kuongeza biashara njiani. 🚆🇰🇪
0
0
0