
Kenya Street Food ina under-go so revolution moments of some sort. The couple of week tumeona;
- Skucha ( Chapati + Sukuma)
- Umecha or Omena Taco (Chapati + Omena)
- Mtucha (Chapo + Mtura)
- Sayama (Sambusa + Nyama + Mayai)
Are we really getting creative? na kwa all these, ni gani ana-make economical sense kwa street vendor and sio weird ama extreme?

0
0
0