
Kevin anaweza fanya biz ya manguo ya watu wote women men and children kama hana dummy anaweza anza na yeye mwenyewe kuzivaa anapigq picha akiwa amezivaa na kupost huko online fb pia anaweza zipiga tu picha kama amezipanga vifiti somewhere analyst huko online akipost amake sure amepost his location na price na pia kama anaweza fanya delivery in person inaweza kuwa poa Also akishaanza kupata customers anaweza kuwapost kama wamevalia hizo nguo amekuwa akiwauzia akitumia #happy client hivo atapata wasee wengi watakuwa wakimtrust Anafaa pia kukua careful aki conduct delivery juu pia sio customers wote wakuaminika Anaweza pia create content akiwa omevalia hizo nguo maybe aki act kama dem anavaa hizo nguo za dem na pia aki act kama men maybe comedy akitag price za hizo nguo na location Akipata pia the regular customer anafaa kuwapea discounts ndo pia wakuwe wanaenjoy his services. Akifanya biz akuwe Ana interact fiti na customers wake acreate good customer relation na wao ndio wasiende kabisa wakuwe wakirudi Akiuza akuwe tu anabonga nao fiti #meshchallafe #facebookchallenge