Kevin anifunze any of the digital skills, like digital marketing, graphic design ama web design then aanzee kushowcase hizo skills kwa hio facebook page yake... Followers wake wataanza kuwa interested na hizo skills na wataanza kumreach out for his services of which hizo services atajua anadeliver at a cost...Akifanya hivoo atajua ashaanza kumake doo out of his Facebook followers
0
0
0