
Kevo hapa Kuna points important ✌️ (A) Since ni loan, utilize pesa mingi kwa Stocks. Like 18k weka kwa kubuy Stocks. Then angalia kama Kuna products uneza Anza nayo ilete profit pia. (B) 1k weka kwa promotions za bidhaa zako. Shika wale macustomers wa kawaida then emphasize kwa macustomers wapya. (C) 1k ingine weka kwa marketing bidhaa zako online. Especially social media platforms marketing your products.


0
0
0