
Kevo , maze ukiwa na hiyo 20k, na ni pesa ya mkopo ambazo unajuwa lazima utalipa na interest, usifanye mchezo, chukuwa kalamu na kitabu andika chini zile items zenye zinatembea poa kwa hii bzn Yako, next step hakikisha umeleta hizo vitu uanze kuuza immediately ili upate profits haraka haraka ulipe mkopo before uanze kudaiwa, utakuwa umetengeneza uziano mwema na wafadhili wako ili siku ingine wakukopeshe tena
0
0
0