
Kienyeji uji + sweet potatoes 🍠 Ingredients "porridge"; wimbi, njugu, mawele, ngano, soya, omena, mahindi, cassava. Customers target; stage ya boda, Kwa mjengo, vikundi za siasa kama Ile ya jakaranda Nairobi, open market. Yule wa baridi nampoeshea!!


0
0
0