Kijana wa neighba amepata Nyota 🌟Fund last month. Alikam kuniuliza ni biz gani anaweza weka na io 25K juu hajaigusa bado. Anasema any biz idea ya kumpea guaranteed returns daily is okay. Nimshow aje, Meshers?