Kila biashara huanza na ndoto lakini huendelea kwa bidii, uvumilivu na imani. Usikate tamaa, kila hatua unayochukua leo ni mbegu ya mafanikio ya kesho. Good luck fellow meshers