Kila biashara owner anataka vitu tatu.
š° Kupata pesa.
š Kukua.
š“ Kulala bila stress. š
Lakini ile ya mwisho ndio husahaulika.
Mpaka uanze kujiuliza...
"Mbona pesa haikai?"
"Niko na enough cash kweli?"
"KRA ikibisha leo niko ready?" š
Mara nyingi hizo si growth problems.
Ni records problems.
Ukijua numbers zako, unalala vizuri.
Na biashara nayo inaenda vizuri. š¤
Ni swali gani hukunyima usingizi mara nyingi? š
0
0
0