
Kila business inahitaji capital. NA hii capital sio tu ya kuanzisha business pekee, pia niya kujenga business. Kama biz ya kufuga kuku. Hizi kuku zina hitaji maintance, Food, medical na vitu kadhaa na ni lazima mtu akuwa na capital support ndio aweze kumudu hii biz. And it's a profitable business. #businessIdeas
0
0
0