Kila kitu imepanda na govt haijali watu food staffs noma manze sijui wanataka tusurvive aje na tukiwalipia starehe zao