
Kila msee anafanya biz lazima aelewe Finance.
The more biz inagrow, hizi vitu zinakuwa essential
1.Budgeting
2. Loans na interests
3. Accounting na taxes e.t.c
Hata kama hujaanza kuzitumia, ni poa kuanza kulearn. Tafuta YouTube channels zinaexplain hizi vitu ama tumia A.I kuzimaster.
Happy weekend Meshers.
0
0
0