
Kila mtu anataka kua successful kwa njia zote...swali ni ushai taka kujaribu business ya kuuza food ama ku own vibandaski kwa area fulani ukue unauzia watu ready food...
Ili uweze kuwin watu haraka kwa hio business siri kadhaa ni kama vile.
1.Usafi...hio ndo itakua attraction ya customer ya kwanza na pia itazuia watu kupata maugonjwa kama kipindupindu na stomach issues..
2.Fresh food..make sure chakula uenye unaserve ni fresh si yenye imelala.
2.Chakula tamu na quality...dont cook for the sake of cooking...prepare chakula tamu na tasty ili watu waipende .
3..Jaribu after sales services kama food delivery kwa customers wanadai door to door deliveries.
- Location..make sure umeplace ur hotel at a central place kwa watu mob ili upate customers.
5.Feed back..try ku engage na ma customers ujue their opinion ya food na the services na kenye wanatamani ikue improved..watu ni kusaidiana .
- Creative...be creative kwa business yako haswa kwa recipes .research on recipes ili ukue outstanding kwa hio job market.
7...ila usisahau kuget licence ..si unajua tu kanjo siku hizi wako na new tactics za kushika wasee...kaa chonjo👍pata licence kwanza.
#mesh.

