
Kila mtu anataka kugrow na kuexpand business yake .here are quick tips zinaweza kukusaidia.
1.learn to make good decisions and choices..coz business is all about kuchoose whats best for you and the business.
2.pea customers wako good customer services na after sales services to attract more customers.
3.kua na good time management ya business yako.
4.analyze your competions ujue kenye wale wengine wanafanya usiachwe nyuma and how to improve that ukue known for best products ama services.
- Wewe kama retailer na hawker unameet customers wengi so unafaa kubuild good customer relations na audience wako by giving them immediate feedback na maswali wanauliza in hii husaidia kuconvince customer kununua
0
0
0