
Kila mtu kwa biashara ukua na goals za kusave pesa ili kujiendelesha kimaisha.. Wewe kama retaier ama hawker how are you saving money .here are some tips zakukusaidia upate unasave the most from ur money yenye unaget.
1.follow your budget itakusaidia kupunguza kuoverspend
2.set goals ujue by a certain period unafaa kua umesave pesa ngapi ili kujikeep on track.
3.lipa na you avoid madeni..debts hufanya watu kukosa kusave juu pesa kiasi unapata unashinda ukigawa kupunguza madeni..avoid madeni
4.kama unaeza tafuta side hustle for example uneza merge ur business kama uko na shop unaeza engage kua na mpesa ama ata ukue na cereal shop .
5.make good choices..biashara ni all about choices na kufanya the right thing ili ufaulu.

0
0
0