
💬Kila place saa hii ni story za Finance Act na New Taxes.
💪Tunabonga na experts wa-explain vile Finance Act 2023 na Bills zimekua passed or proposed zita-affect MESHERS.
🤔For example, Ni kila farmer or business person anafaa kuwa na ETR machine ata kama una-sell 5K kwa Mtumba biz? Uta-need ku-get permit kuuza njugu karanga?
👉Uko na maswali, kuna kitu hauko sure about, ama huja-understand?
Uliza kwa comments!
0
0
0