
Kilimo ni process. Na hii nimejifunza through experience. But ile important process ni ku market, rather kuuza produce zako. Brokers hapa ndio ukuwa wengi kuliko any other gig na wote wanting to exploit the most important link:Mkulima. So kama mkulima unaweza aje ku buypass brokers and kuuza your produce at the maximum profit?
π¨βπΎ Njia ya kwanza, I practically did ni kuuza direct kwa mama mboga, challange ya hii ukuwa tu transport but iko na better returns. Otherwise, kama wanakuja ku buy direct from the farm inakuwa way easy π¨πΏβπΎ Njia ingine nikuza kwa Farm markets kama kongowea na Githurai. π¨πΏβπΎ Kuna pia kuchase orders kwa hotel kubwa kubwa, supermarkets ama pia institutions. π¨πΏβπΎ Kuna wale pia nimeona wana sale online, like msee anapost articles either kwa groups with bei amequote.
π¨πΏβπΎThough the best way niku sign contract, like in my case na firms kama Wanda, ama EBL (kama una intent ku grow vitu kama millet) meaning unakuwa already na client kabla kuanza.
Kama uko na more ways and experiences please share kwa comment we get to learn and ku grow pamoja.
