Kimbieni Carrefour kuna crazy offers, mwanzo za kitchen & cooking products, juu wana celebrate 7th Anniversary. Jana niliangukia SunGold 5L na 875/= from 1754/=
Juu ya hio, ebu niambieni how to cook mchele low quality isishikane sana.

0