
Kimeramba watu tena Eldoret.
Job seekers lose sh300m in another Eldoret scam.
Tulibonga na MESHERS about hii story ya jobs za majuu verses kupiga hustle in Kenya.
Watch reel hapa: https://mesh.life/app/watch...
Weka maoni kwa comments: Unafeel ni must mtu aende majuu ku-make doh enough ama pia in Kenya unaweza omoka?

0
0
0