
“Kitabu cha kifo kisimani kilichochapishwa na Kithaka wa mberia”
Mtemi Bokono:
Watoto wasikubali kuigiza mchezo huo kwa sababu unaadhili umaarufu wa Mtukufu mtemi Bokono.
Askari wasimruhusu Mwandishi katika eneo la kuigiza. Kwa sababu ya amri ya mahakama, ambayo lazima ionekane kama imefuatwa, naagiza huo mchezo ufanywe saa kumi na mbili alfajiri kabla wanainchi hawajaamka.
Wapiga picha na wanahabari wasiruhusiwe ndani. Hivyo tutakuwa tumepunguza umaarufu wa mchezo huo na sifa ya Mtemi itabaki milele.
“Kweli fasihi ni kioo cha jamii “

0
0
0