
Kitambo mahali nilikuwa nafanyia kazi ya kuuza mali yangu nilikuwa nafunga saa nne hata customer wangu walikuwa wamezoea kunipitia hiyo time bila haraka lakini wakati ilipokuja ikabidi niwe nikifunga saa mbili na nusu,,,,customer wakapungua kwa sababu ya rush ya curfew,,,,unapata customer anataka kubuy lakini masaa haimkubali yuko mbioni sana,,,,,nikaendelea hivo kwa sasa pia naona curfew inazidi kuongezwa tuh,,,lakini i hope with time it will catch up
0
0
0