
Kitu iko saa hii niku rewind kila kitu chenye umeenda through either positively ama negatively. Kama ni kitu positive angalia ni wapi unafaa ku put more effort ama kuongezea ndo ikue better zaidi, jaribu ku learn vitu mpya tafuta more ushauri kwa watu serious na wenye unawaminia. Mahali ulifeli jaribu kuangalia sababu na ulifeli aje ndo next isijirudue tena. Kitu kingine zaidi usieke regrets eti mbona ulifeli hivo no matter nini ulipoteza cha muhimu ni kuinuka na kupiga more steps, ongeza more speed than earlier ngojea results

0
0
0