
Kitu moja natambua ikikam kwa tumbo, ni kukula nje instead ya kupika!😅From kibandaski dish after a long job hours strain, especially ukiwa nightshift na ukiwa unafanya kazi kwa industry fulani😮💨, halafu upatane na ugali tumbo hiyo asubuhi! It SLAPS!! Wacha tu😂, to that restaurant ya nyamchom na chips na kadelmonte ya kupatia mwili pole after salary kuingia😂 ...
Kati ya kibandaski na restaurant kama mwanabiashara, gani ndiyo the way to go in terms of startup capital na profit margin? Atleast niwache kukula nje😅


0
0
0